KEEP ON MOVING

Kwa siye wote wenye moyo kijasiri,hili ni pumziko letu,tuendelee kupambana!
Tukifanikiwa tusisahau tulipotoka,kizazi chetu cha Afrika chatutegemea....
Aluta Continua,
Kasiga Jr.

Bob Marley-Keep On Moving 
Lord I got to keep on moving
Lord I got to get on down
Lord I've got to keep on moving
Where I can't be found, where I can't be found
Lord they coming after me

I've been accused on my mission
JAH knows you shouldn't do
For hanging me they were willing yeah! yeah!
And that's why I've got to get on thru
Lord they coming after me

Lord I got to keep on moving
Lord I got to get on down
Lord I've got to keep on moving
Where I can't be found
Lord they're coming after me

I know someday we'll find that piece
Of land somewhere not nearby Babylon
The war will soon be over and Africa
Will unite the children who liveth in
Darkness have seen the great light

I've got two boys and a woman
And I know they won't suffer now
JAH forgive me for not going back
But I'll be there anyhow
Yes I'll be there anyhow

Lord I got to keep on moving
Lord I got to get on down
Lord I've got to keep on moving
Where I can't be found, where I can't be found
Lord they coming after me
Share on Google Plus

About Cheketua

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

12 comments:

Peter Kasiga said...

Keep on moving kwa kweli.....Inspiring stuff.Naipenda hii

Gervas Kasiga said...

kaka mapambano hayakuwa kwa kipindi cha frelimo pekee,yapo mpaka sasa,kwa kweli napendezwa na juhudi zako.....bado wanaishi ndani yetu,,,keep the Faith......zidisha hatua mbele,penye kikwazo ni mwanzo wa knowledge mpya.

Anonymous said...

Nafurahi hasa kusikia kutoka kwako,but we are not going to giveup untill the end of our struggle.Nafarijika kusikia kwamba Kasiga unadhamira ya mapambano, naamini tutakutana through that way. Wako watakao kuchukia na wapo watakao penda hasa unaposimamia ukweli wa dhati. Stand strong.

Gervas Kasiga said...

Asante sana ndugu yangu,nakuahidi kuwa nitazidi kusimama kwa dhati,nimefarijika sana kusikia kuwa siko peke yangu,naamini tutakutana kwenye kilele cha mlima.
Baraka na ulinzi mwingi kwako.

Anonymous said...

Oyaa man haya mambo umeanza lini m2 wangu..anyway..its 1 step forward kip it goin homiz mm nitaitangza sana hapa kiwanja

Anonymous said...

hey kip on goin bud...mapambano mpaka mwisho lazima kieleweke...mafisadi wa-fi-lwe
Mapanga boy
hstn Tx

Gervas Kasiga said...

kaka si unajua,mapinduzi yako ndani ya moyo wangu daima,shukrani za ziada kwa kukaa kwa muda sebuleni kwangu bila hata ya maji ya kunywa.
aluta continua.

Von Wilfred said...

Man nafurahi kuanzisha kwa blog hii yenye mlengo chanya wa kimapindu.Kwani itaongeza ari kwa wanamapambano halisi wenye kutaka kuona mabadiliko yanafanyika.
Kitaeleweka tu.

Anonymous said...

aiyyo kasiga
we are always on the move brother.kikubwa cha kufikiria ni are we on the right track.c unanisoma m2 wangu halafu guess nondo kama hizi unaweza kuzipata kwa mwanaharakati gani.peace aluta infinity

Gervas Kasiga said...

mwanaharakati umenikosha moyo kwa kuweka maneno ya msingi,siyo bora mapambano ila mapambano bora,nakubali lazima tupambane katika njia ya maana na msingi,najua wewe utakuwa mwanamapambano halisi,hata kama jina lako likijificha najua wewe ni wa kweli tu,yaani uko mpaka kwenye anga za infinity,nimeshindwa kuotea tu!

keep it going brother,

kasiga jr.

Anonymous said...

ah sana
mi mwanao Baraka. Nimefurahi sana kukutana na misimamo yako.jina limejifichua

Gervas Kasiga said...

Baraka nimekusoma kaka,najua mawazo ya ushindi yanaendelea kutambaa akilini kwako,
acha tusogeze siku na siyo siku zisogee,
Amani na ushindi kwako!